Baadhi ya wajumbe wa tume ya uchaguzi ya Zanzibar ZEC ambao hawaungi mkono uchaguzi wa marudio wamemtaka mwenyekiti wa tume hiyo Jecha Salim Jecha ajipime afanye maamuzi ya busara ili kuepusha Zanzibar kutokuingia kwenye janga linaloinyemelea kwani ameshaonyesha udhaifu wa kuisimamia katika, sheria na kanuni za uchaguzi.
Akizungumza jijini Dar es Salaam mmoja wa wajumbe hao ametoa wito kwa wajumbe wengine kuachana na uchaguzi wa marudio ili wasiwe sehemu ya historia mbaya ya nchi na kuongeza kuwa kwa hali ilivyo visiwani Zanzibar kuna haja ya kupatikana mpatanishi wa kimataifa ambaye ataweza kuziweka pande zote mbili ili kufikia suluhu itakayoridhiwa na wote.
Kuhusu suala la tume hiyo kupokea barua ya malalamiko ya CCM iliyokuwa na mambo matatu waliyolalamikia kuwa yamevuruga uchaguzi hadi mwenyekiti wa ZEC kufikia kufuta uchaguzi huo Bw Nassor amesema.
Akijibu maswali mbalimbali ya waandishi wa habari likiwemo la kwa nini wao wameendelea kuwa wajumbe wa tume hiyo ili hali hawakubaliani na mwenendo mzima wa maamuzi ya mwenyekiti wao amesema.

Share To:
Magpress

MagPress

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

0 comments so far,add yours