Photo: MCHANGANYIKO WA ASALI NA MDALASINI 
Shinikizo la damu {HIGH BLOOD PRESSURE} 
Shinikizo la damu pamoja na matatizo yaambatanayo na maumivu ya kifua na kizunguzungu yalitoweka kutoka kwa wagonjwa wengi wiki chache tu baada ya watafiti wa kitaliano kuwapa dozi za mara kwa mara za asali ilyochanganywa na mdalasini. Vipimo vya shinikizo la damu vilionyesha ukawaida na wote 137 waliofanyiwa jaribio hilo waliripoti kujisikia vyema/vizuri baada ya wiki chache za tiba hii ya ajabu.
Pendelea kutumia angalau VIJIKO VIWILI vya ASALI na MDALASINI asubuhi na usiku kabla hujalala kila siku ili kupata faida ya mchanganyiko huu.

SHARE na wengine kueneza ujumbe!!MCHANGANYIKO WA ASALI NA MDALASINI
Shinikizo la damu {HIGH BLOOD PRESSURE}
Shinikizo la damu pamoja na matatizo yaambatanayo na maumivu ya kifua na kizunguzungu yalitoweka kutoka kwa wagonjwa wengi wiki chache tu baada ya watafiti wa kitaliano kuwapa dozi za mara kwa mara za asali ilyochanganywa na mdalasini. Vipimo vya shinikizo la damu vilionyesha ukawaida na wote 137 waliofanyiwa jaribio hilo waliripoti kujisikia vyema/vizuri baada ya wiki chache za tiba hii ya ajabu.
Pendelea kutumia angalau VIJIKO VIWILI vya ASALI na MDALASINI asubuhi na usiku kabla hujalala kila siku ili kupata faida ya mchanganyiko huu.
Share To:
Magpress

MagPress

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

0 comments so far,add yours