Wanafunzi zaidi ya 300 wa shule za msingi Masuguru na Muheza zilizopo wilayani Muheza wanalazimka kukaa kwenye Majanvi na mifuko aina ya Vir...
Mahakama ya hakimu mkazi kisutu imewahukumu raia wawili wa china kulipa faini ya shilingi bilioni 108.7 ama kwenda jela kifungo cha miaka...
Taarifa ambayo imetolewa na kaimu mkurugenzi mkuu wa mawasiliano, IKULU Gerson Msigwa imesema kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani...
Wananchi wa Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu wamemuomba Waziri Mkuu ,KASIM MAJALIWA kuwasaidia kuondoa mgogoro uliopo kati yao na mwekezaji wa ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Balozi Mhandisi John William Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongoz...
Bei ya nishati ya mafuta imeendelea kushuka baada ya mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji EWURA kutangaza bei kikomo huku baadhi...
Serikali imekipongeza kiwanda cha vinywaji baridi ya bonite ya moshi kwa kutekeleza kwa vitendo usimamizi wa sheria katika uzalishaji wa bi...
wadau wa matumizi bora ya ardhi wamesema tatizo la ongezeko la migogoro ya ardhi kati ya wakulima wafugaji na maeneo yaliyo hifadhiwa halita...
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu nchini imesema kwasasa imekwishaimarisha mifumo yake ya kupokea na kushuhulikia malalamiko ya wanafunzi haswa...
Wananchi kumi na sita elfu wa kijiji cha Libango wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma wanakosa huduma muhimu baada ya daraja la Libango linalou...